Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ulimwengu: Vilabu ya Tanzania havithamini wazawa

Thomas Ulimwengu Sa Thomas Ulimwengu

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Singida Big Stars, Thomas Ulimwengu, amesema vilabu vya Tanzania havithamini wachezaji wazawa na badala yake wanathamini wachezaji wakigeni ambao wengi wao wanakuja kucheza Ligi Kuu ya Tanzania kufuata malipo mazuri na umaarufu tu

Mshambuliaji wa Singida Big Stars, Thomas Ulimwengu, amesema vilabu vya Tanzania havithamini wachezaji wazawa na badala yake wanathamini wachezaji wakigeni ambao wengi wao wanakuja kucheza Ligi Kuu ya Tanzania kufuata malipo mazuri na umaarufu tu “Mimi naona wachezaji wengi wamefanya (Tanzania) kama ni njia, Wanaona kabisa nikija Tanzania nikifunga magoli kadhaa naondoka. Klabu za Tanzania zinathamini sana wachezaji wa nje kuliko wazawa, Wanakuja hapa, wanathaminiwa sana wanalipwa vizuri, So hakuna mchezaji ambaye hapendi kwenda kwenye mpira akalipwa vizuri, wanakuja kwa sababu wanaona kuna mafanikio” amesema Ulimwengu

Chanzo: www.tanzaniaweb.live