Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujio mpya wa Kim Poulsen gumzo

Kim Pic Data Ujio mpya wa Kim Poulsen gumzo

Wed, 17 Feb 2021 Chanzo: mwanaspoti.co.tz

By Thomas Ng'ituMore by this Author Urejeo wa aliyekuwa kocha wa timu za vijana Tanzania na timu kubwa ya Taifa, Kim Poulsen umeibua hoja kutoka kwa wadau mbalimbali wa soka nchini.

Kurejea kwa kocha huyo kulithibitishwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia alipozungumza na gazeti Mama (Mwanaspoti) akisema kocha huyo anarudi kuwa mshauri wa ufundi kwenye soka la vijana.

Baada ya kauli hiyo, jana TFF walitoa barua ambayo inaonyesha kumpa kocha Kim mkataba wa miaka mitatu kwa ajili ya kuinoatimu ya Taifa,

Taifa Stars.

Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Kennedy Mwaisabula alihoji uhakika wa viongozi wa sasa wa TFF kama kocha Poulsen bado alikuwa anaendelea kufanya kazi za soka hadi sasa.

Mwaisabula alisema kwa ufahamu wake, Kim aliondoka nchini muda mrefu, hivyo hana uhakika kama viongozi wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu nini ambacho kocha huyo anakifanya.

Chanzo: mwanaspoti.co.tz