Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujerumani yatinga robo fainali EURO

Ujerumani 448555 Ujerumani yatinga robo fainali EURO

Sun, 30 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ujerumani imetinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Denmark katika dimba la Signal lduna Park (Dortmund).

Jamal Musiala alifunga bao lake la tatu kwenye michuano hiyo mnamo dakika ya 68 baada ya Kai Havertz kuitanguliza Ujerumani kwa mkwaju wa penalti mnamo dakika ya 53’

Musiala ndio kinara wa magoli kwenye EURO 2024 mpaka sasa akiwa na magoli matatu sawa na Georges Mikautadze wa Georgia.

FT: Germany 2-0 Denmark

⚽ Havertz (P) 53’

⚽ Musiala 68’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live