Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujerumani yatangulia Fainali World Cup U17

New Project 2023 11 29T103935 Ujerumani yatangulia Fainali World Cup U17

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kombe la Dunia chini ya miaka 17 linaendelea hii leo katika hatua ya Nusu Fainali huko nchini Indonesia. Michezo yote miwili ya nusu fainali inachezwa katika uwanja wa Manahan.

Afrika inawakilishwa na timu ya Taifa ya Mali pekee katika hatua hii, huku Ulaya ikiwakilishwa na Ujerumani pamoja na Hispania. America Kusini inawakilishwa na Argentina pekee.

Argentina ndio timu iliyokuwa ikipigiwa chapuo zaidi la kubeba kombe hili lakini imeondoshwa na timu ya Taifa ya Ujerumani katika mchezo wa mapema uliopigwa saa tano asubuhi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live