Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uingereza yafuzu Euro 2024

England1 Uingereza yafuzu Euro 2024

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa England imefuzu kwenda fainali za kombe la Mataifa Ulaya (EURO 2024) baada ya kutoka nyuma 1-0 na kushinda 3-1 dhidi ya Italia katika dimba la Wembley kwenye mchezo wa kundi C wa kufuzu EURO 2024

FT: ENGLAND 3-1 ITALY

⚽⚽ Kane (P) 32' 77'

⚽ Rashford 57'

⚽ Gianluca Scamacca 15'

England imeshinda kwa mara ya kwanza ikiwa nyumbani dhidi ya Italia tangu 1977. Italy imepoteza mechi ya kwanza ikiwa ugenini kwenye mechi za kufuzu EURO tangu 2006.

MATOKEO MENGINE KUFUZU EURO 2024

KUNDI C:

Malta 1-3 Ukraine

KUNDI G:

Serbia 3-1 Montenegro

Lithuania 2-2 Hungary

KUNDI H:

Finland 1-2 Kazakhstan

San Marino 1-2 Denmark

Northern Ireland 0-1 Slovenia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live