Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uhuni hauna nafasi kwenye soka

Aziz Mokwena 2681708 Mokwena na Aziz Ki

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Mamelodi Sundowns Rhulani Mokwena baada ya Yanga kunyimwa goli halali alisema anachojali yeye ni kwamba wamefuzu nusu fainali, moja kati ya kauli ya kihun kabisa iliyoonesha haheshimu fair play haheshimu Mpira Yeye anachojali ni matokeo.

Hatimaye jana amekutana na matokeo halisi ya mpira ameshikishwa adabu nyumbani kwake pale pale south Africa.

Uhuni hauna nafasi kwenye soka matokeo ya kutegemea waamuzi kuwabeba yamewatokea puani wamekosa msaada wa waamuzi jana na kutolewa kwa aibu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live