Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uchebe ang'atuka AFC Leopards

Patrick Aussems Uchebe Kocha raia wa Ubelgiji Patrick Aussems

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha raia wa Ubelgiji Patrick Aussems, ameondoka AFC Leopards ya Kenya baada ya kutangaza rasmi kutoongeza mkataba wake na klabu hio aliyodumu miaka mitatu.

Kocha raia wa Ubelgiji Patrick Aussems, ameondoka AFC Leopards ya Kenya baada ya kutangaza rasmi kutoongeza mkataba wake na klabu hio aliyodumu miaka mitatu. Aussems aliwahi kuifundisha Simba kwa mafanikio ikiwa ni pamoja na kuiongoza kufuzu hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili katika historia

Chanzo: www.tanzaniaweb.live