Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uchambuzi Singida FG vs Yanga

Yanga 9073 Uchambuzi Singida FG vs Yanga

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu bora imeshinda mechi, licha ya Uwanja wa CCM Kirumba kusheheni maji na kufanya haraka za uwanjani kwa wachezaji kukwama kwa kiasi lakini kila timu ilisprint vya kutosha.

Yanga wanadhihilisha na kupita kwenye ule mstari wa ili kuwa Bingwa inahitaji Constsiteny ya matokeo plus quality ya kikosi, nini walichofanya zaidi kwa Singida FG?

1: Walihakikisha wanakuwa na idadi ndogo ya pass ndefu ndefu na wakawa wanpiga one touch ya football kwa haraka sana (Mkude, KI Aziz, Nzengeli walifanya hivyo zaidi) kwanini? Ili kumove safu ya Ulinzi ya Singida FG kwa haraka sana

2: Walihakikisha wanaufanya uwanja kuwa mpana na kumpanua Singida FG zaidi, repeatedly walifanikiwa sana

3: Waliweza kutumia udhaifu wa Singida FG kwa kutumia uslow wao kwenye recovering bad, base mbele ilikuwa ni 5 players (Yanga) Vs 4 players (Singida FG) walishinda mipambano yao.

4: Baada ya hapo ilikuwa ni kuona Yanga anakuwa mfanisi golini kwa kiasi gani, aiseee dah Jeshi la Wananchi ni wakatili sana langoni.

Singida FG wanalikuwa wanaacha space kuwa sana hasa pale wanapopanda juu zaidi, kufanya recovering inakuwa ngumu kwao plus uwanja kutokuwa rafiki sana.

Yanga kwenye mbio za Ubingwa wanaendelea kuwa bora , kuweka points kabatini A VERY GOOD TEAM.

NOTE

1: Mzize amemwaga jasho la kutosha, anapanda na kushuka kwa energy ile ile ya kutosha dah.

2: Wadada alikuwa na game nzuri sana.

3: KI Aziz anajua sana kufunga huyu Jamaa, what a volley.

4: Guedé kaweka kamba mbili wavuni safiiiiii

5: Rotations ya positions ya Yanga ni nzuri sana na haiharibu shape ya timu, hata kama kiwanja hakirubusu watakupa rotations ya positions nzuri sana.

6: Fitness level ya Mkude imerudi na amekuwa kuwa bora.

FT: Singida Fountain Gate 0-3 Young Africans.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live