Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ubelgiji waichapa Ujerumani 3-2

Germany Luk.jpeg Ubelgiji waichapa Ujerumani 3-2

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya Ujerumani imekutana na kipigo cha bao 3-2 dhidi ya Ubeligiji katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Ujerumani mchezo ulichezwa katika uwanja wa RheinEnergie mji wa Köln.

Matokeo hayo yanamfanya kocha Domenico Tedesco wa Ubelgiji kushinda mechi mbili za awali kufuatia kuichukua timu baada ya Kombe la Dunia.

Mabao kwa Ubeligiji wageni yamefungwa na winga wa Atletico Madrid Yannick Carrasco, Romelu Lukaku na Kevin de Bruyne wakati wenyeji Ujerumani wamepata bao zao kupitia kwa Niclas Fullkrug (penalti) na kiungo mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Serge Gnabry.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live