Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ubelgiji wafungasha virago Kombe la Dunia

Belgium Out.jpeg Kevin De Bruyne ameshindwa kuivusha Ubelgiji

Thu, 1 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Ubelgiji imefungashiwa virago hatua ya Makundi michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Qatar.

Ubelgiji imeondoshwa baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na Croatia na kuacha mshangao mbele ya macho ya wapenda kandanda Duniani kutokana na kikosi chake kusheheni nyota wengi wanaotamba katika Ligi mbalimbali barani Ulaya.

Ubelgiji ilipangwa kundi F sambamba na timu za Morocco ambayo imemaliza kinara, Croatia iliyomaliza nafasi ya pili pamoja na Canada.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live