Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UTANI: Kwa nini Edo haizungumzii Arsenal”Kwa tamaduni zetu ni vibaya kumzungumzia vibaya Marehemu”

1272 Sequence 01.Still034 TZW

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

January 14 2018 Arsenal walikuwa ugenini kucheza dhidi ya AFC Bournemouth katika mchezo wao wa Ligi Kuu na kupoteza game hiyo kwa magoli 2-1 lakini baada ya game tumeona baadhi ya mashabiki na wapenzi wa soka wakiwatania mashabiki wa Arsenal.

Mchambuzi wa soka Edo Kumwembe yeye ni miongoni mwa wachambuzi lakini pia ni shabiki wa soka ambaye anapenda kutoa kauli za utani kuhusu game za soka kupitia instagrama account yake, Edo leo amepost utani huu unaohusiana na matokeo ya game ya Arsenal baada ya kufungwa.

“Kuna mtu kaniuliza mbona sizungumzii matokeo ya Arsenal, nimemjibu “Kwa tamaduni zetu ni vibaya kumzungumzia vibaya Marehemu, mwache apumzike”…

Chanzo: millardayo.com