Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UPDATES:Tanzania 0 - DR Congo 2

Beka Mwanmyeto Stars wapo nyuma kwa magoli mawili

Thu, 11 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipindi cha pili kimeanza kwa kila timu kufanya mabadiliko kadhaa kwa namna walimu walivyoona.

Stars walifanya mashambulizi kwa nguvu katika lango la DR Congo, wakitafuta bao la kusawazisha.

Dakika ya 64 DR Congo wanapata bao la pili likifungwa na mlinzi Nathan Fasika baada ya kuanzishwa kwa kona fupi na kuitumia vyema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live