Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UPDATES: Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Polisi Tz

FCtt0uIWUAc5YPq Simba SC, First XI

Wed, 27 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha wekundu wa Msimbazi kitakachoanza dhidi ya Polisi Tanzania kimetolewa, ambapo watakuwa na kibarua cha kusaka alama tatu dhidi ya vinara wa Ligi Polisi Tanzania.

Mchezo huo utapigwa katika dimba la Mkapa Jijini Dar es Salaam, na unatarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na Polisi Tanzania kuwa katika kiwango bora kwa sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live