Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UEFA yawapiga marufuku Mashabiki wa Bayen kwa mechi za ugenini

AsuAHVD UEFA yawapiga marufuku Mashabiki wa Bayen kwa mechi za ugenini

Sat, 16 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

UEFA imeiambia klabu ya Arsenal kuwa katika Mchezo wa hatua ya Robo fainali dhidi ya FC Bayern, Uwanja mzima watatakiwa kuingia mashabiki wa klabu Yao tu, mashabiki wa Bayern München hawataruhusiwa kuingia katika Uwanja huo wa Emirates

UEFA imeiambia klabu ya Arsenal kuwa katika Mchezo wa hatua ya Robo fainali dhidi ya FC Bayern, Uwanja mzima watatakiwa kuingia mashabiki wa klabu Yao tu, mashabiki wa Bayern München hawataruhusiwa kuingia katika Uwanja huo wa Emirates Hii ni baada ya zuio la kuwasha na kutandaza Moshi kwenye Mchezo dhidi ya FC Copenhagen na kuelekea kufungiwa kuingiza mashabiki katika michezo yote ya ugenini katika michezo ya UEFA Champions League .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live