Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UEFA yatoa maamuzi mechi iliyoishia katikati

Belgium Vs Sewden 1 1 UEFA yatoa maamuzi mechi iliyoishia katikati

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juzi mechi ya kufuzu EURO kati ya Belgium dhidi ya Sweden iliahairishwa baada ya Wachezaji kugoma kurejea Uwanjani kipindi cha Pili huku ubao wa matokeo ukisoma 1-1 hadi Mapumziko, kutokana na kile walichofanyiwa mashabiki wawili wa Sweden kwa Kuuwawa kwa kupigwa risasi UEFA imesema mechi hiyo haitarudiwa na matokeo yatabaki 1-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live