Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UEFA yakiri kuikandamiza Newcastle kwa PSG

Newcastle Vs Arsenal UEFA yakiri kuikandamiza Newcastle kwa PSG

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limethibitisha kuwa penati waliyoipata PSG dhidi ya Newcastle usiku wa Jumanne ilikosewa.

Ofisa wa VAR ambaye alisimamia tukio hilo ameondolewa kwenye orodha ya mechi zijazo za mashindano hayo.

PSG walinufaika na penati hiyo dakika ya mwisho ya mchezo huo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1

Chanzo: www.tanzaniaweb.live