Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twiga Stars yatoa sare na Mali Chamazi

IMG 0476.jpeg Twiga Stars yatoa sare na Mali Chamazi

Sat, 1 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars leo imetoka sare ya kufungana mabao 2-2 na Mali katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo uliotangulia jioni ya leo Sudan Kusini iliichapa Shelisheli 5-1 hapo hapo Azam Complex.

Mechi za kwanza juzi, Mali iliichapa Shelisheli 9-0 na Tanzania iliichapa Sudan Kusini 3-0 hapo hapo Azam Complex.

Mechi zijazo, Tanzania itacheza na Shelisheli na Mali dhidi ya Sudan Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live