Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twiga Stars yasonga mbele kufuzu Olimpiki 2024

Twiga.jpeg Twiga Stars

Fri, 30 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya soka ya taifa ya wanawake Tanzania, “Twiga Stars” imefuzu kucheza Raundi ya Pili ya kufuzu Michezo ya Olimpiki 2024 Paris baada ya Kongo kujiondoa.

Timu ya soka ya taifa ya wanawake Tanzania, “Twiga Stars” imefuzu kucheza Raundi ya Pili ya kufuzu Michezo ya Olimpiki 2024 Paris baada ya Kongo kujiondoa. Sasa Twiga Stars iliyo chini ya kocha Bakari Nyundo Shime itacheza na Botswana katika Raundi ya Pili ya kuwania tiketi ya Paris 2024 mwezi Oktoba ikianzia nyumbani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live