Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twiga Stars yafuzu WAFCON

Twiga Stars Kikosi Vs Botswana Twiga Stars yafuzu WAFCON

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake (Twiga Stars) imefuzu Michuano ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2024) inayotarajiwa kufanyika nchini Morocco.

Twiga imepata mafanikio hayo licha ya kufungwa magoli 2-0 na Togo katika mchezo wa marudio jana Desemba 5, 2023 lakini katika matokeo ya jumla Twiga imeshinda 3-2.

Twiga ilishiriki WAFCON kwa mara ya mwisho Mwaka 2010 nchini Afrika Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live