Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twiga Stars watua nchini kibabe baada ya kufuzu WAFCON

Twiga Watua Ms Twiga Stars watua nchini kibabe baada ya kufuzu WAFCON

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kikiwasili Tanzania kikitokea Togo kilipotoka kucheza dhidi ya timu hiyo na kufanikiwa kufuzu Mashindano ya Mataifa Afrika kwa Wanawake (WAFCON).

Twiga Stars ilipoteza mchezo huo kwa mabao 2-0, lakini imefanikiwa kusonga mbele kutokana na ushindi wa mabao 3-0 walioupata katika mechi ya kwanza iliyofanyika Tanzania na matokeo ya jumla kuwa 3-2.

Kikosi hicho kimerejea leo Alfajiri na kupokewa na viongozi wa Kiserikali, TFF, TPLB na watu wengine mbalimbali.

Baada ya kufuzu, Twiga Stars itaenda kushiriki fainali za michuano hiyo zitakayofanyika nchini Morocco 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live