Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twiga Stars ratiba hadharani

Twigastarstz 20210813 7 Kikosi cha Twiga Stars kikifanya mazoezi

Fri, 13 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) imepangwa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika kwa Wanawake, ijulikanayo kama COSAFA Cup 2021.

Katika michuano hiyo, Twiga Stars imewekwa kundi moja na Botswana, Sudan Kusini na Zimbabwe.

Kundi A kuna wenyeji, Afrika Kusini, Angola, Malawi na Msumbiji na Kundi C zipo Zambia, Namibia, Eswatini na Uganda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live