Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twiga Stars dimbani Kombe la Wanawake Ethiopia 2024

Twiga T.jpeg Twiga Stars dimbani Kombe la Wanawake Ethiopia 2024

Thu, 11 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya mpira wa wa miguu kwa Wanawake (Twiga Stars) inashuka dimbani leo kuikabili Tunisia katika mchezo wa Kombe la Wanawake la Tunisia 2024. Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Terrain Ariana uliopo mji mkuu wa Tunisia, Tunis.

Mashindano hayo ya kimataifa yanayoanza leo hadi Julai 15 yakishirikisha timu tatu za taifa ambazo ni wenyeji Tunisia, Tanzania na Botswana yameandaliwa Shrikisho la Mpira wa Miguu Tunisia(FTF).

Twiga Stars itashuka tena uwanjani Julai 13 kuikabili Botswana. Aidha michuano hiyo itatumika kama sehemu ya maandalizi ya awamu mwisho kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) Morocco 2025.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live