Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tuzo ya Ballon D'or yaibua utata kwa Kocha wa Ufaransa

Fbl Award Ballon Dor 2022 6 Scaled Karima Benzema akipokea Tuzo ya Ballon D'or 2022

Sat, 17 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka baadhi ya vyombo nchini Ufaransa na marafiki wa karibu wa Karim Benzema wanadai kuwa, Kocha wa Ufaransa Didier Deschamps alichukizwa na kitendo cha Benzema kutomshukuru wakati ametwaa Ballon dor zaidi ya kumtaja Zinadine Zidane.

Imeenda mbali zaidi na kusemekana kuwa Kocha amegoma kumwita Benzema kambini kuelekea fainali kutokana na sababu hizo, huku jana kupitia Instastory ya Rafiki wa karibu wa Benzema anaitwa Big Ben ameandika:

“Benzema ni Mchezaji bora duniani” huku akisindikiza na bendera ya Algeria ambalo ni taifa la asili la Karim"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live