Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tutamfanya vibaya Singida FG - Ahmed Ally

Ahmed Ally Xxx Tutamfanya vibaya Singida FG - Ahmed Ally

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema Singida FG wamekuja wakati mbaya hivyo wajiandae kuchapwa vibaya.

Ahmed amesema Singida wamekuja wakati Mnyama anahitaji alama kwenye michezo 14 iliyobaki ukianza na ule ulipita walioshinda dhidi ya Coastal Union.

"Niwaalike wanasimba waje kwa wingi Azam Comlex pale Chamazi, ndio uwanja wetu mpya baada ya ule wa Jamhuri Morogoro kutokidhi viwango, Singida tunafahamu anahitaji matokeo lakini Mnyama anahitaji matokeo kwenye mechi zote zilizosalia hivyo kwa kweli tutamfanya vibaya," alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live