Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tusibebe dhambi isiyo ya lazima kwa hili la Maxi Nzengeli

Maxi Nzengeli Mpia Chamazi.jpeg Tusibebe dhambi isiyo ya lazima kwa hili la Maxi Nzengeli

Sun, 27 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nafikiri tutakuwa tunamnyima Max haki yake kama hatutozungumzia kitu kimoja, akili yake (IQ) ya mpira + uwezo wa kuongeza kasi ya mchezo.

Kama wenzie wataweza kumsoma akiwa na mpira akiwa anaangalia mbele huku akiongeza kasi basi wataweza kuingia kwenye maeneo mazuri kwa haraka.

Max akianza tu kuongeza kasi basi kuna mpira wenye madhara unapigwa sehemu.

Kwa kumtazama tu nadhani bado hajafikia katika ubora wake asima miamoja, na itakapofika hapo tutakuwa tuna hadithi nyingine tofauti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: