Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tupite kama 'best looser' - Oscar Oscar

Rais Samia Atoa Mil. 500 Taifa Stars Kufuzu AFCON.jpeg Tupite kama 'best looser' - Oscar Oscar

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuliona kundi letu F la AFCON ya mwakani pale nchini Ivory Coast,nadhani nafasi yetu naiona kupitia wale BEST LOOSER wanne.

Makundi yapo 6 na kila kundi litatoa timu mbili za juu ambazo zitakwenda 16 bora ambapo jumla zitakuwa timu 12,hivyo nafasi yetu Tanzania tunaweza kuipata katika zile timu 4 ili kukamilisha timu 16.

Kiuhalisia Morocco wametuacha mbali,kama tunaweza labda kupata sare kwao,hawa DRC Congo na Zambia mmoja hapa tunapaswa kumfunga ili angalau tukimaliza na alama 4 basi tupate BEST LOOSER.

Hawa Zambia na DRC Congo mara nyingi tunacheza nao na huwa tunafahamiana sana,hapa ndio ilipo nafasi yetu. Vinginevyo tukiwashindwa Zambia na DRC Congo basi tutakuwa washiriki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live