Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tunataka tuwaoneshe Man City jinsi ya kuifunga Al Ahly - Kamwe

Kamwe N0c.jpeg Tunataka tuwaoneshe Man City jinsi ya kuifunga Al Ahly - Kamwe

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aafisa Habari wa Yanga SC amesema mechi yao dhidi ya Al Ahly wikiendi hii wataitumia kuwaonesha Man City jinsi ya kuwafunga wapinzani wao hao.

“Desemba hii, Al Ahly atashiriki mashindano ya klabu bingwa ya dunia maana yake kila Habari inayohusisha Ligi ya Mabingwa Afrika hasa watu watakao kuwa wanacheza na Al Ahly Man City pia watakua wanaitazama.

“Kwahiyo sisi kama Yanga tuna kazi ya kuwaonyesha njia Man City jinsi ya kumfunga Al Ahly, tukishamfunga kwa Mkapa wanaofuta watakuwa wamepata templete,” Maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe

Chanzo: www.tanzaniaweb.live