Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Tunamiss Changamoto za Manara"- Bumbuli

Video Archive
Thu, 12 Aug 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Afisa habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli ameweka wazi juu ya wachezaji wanaotua Yanga katika dirisha hili la usajili linaloendelea wakijiandaa na Msimu mpya na ushiriki wao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Afisa habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli ameweka wazi juu ya wachezaji wanaotua Yanga katika dirisha hili la usajili linaloendelea wakijiandaa na Msimu mpya na ushiriki wao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Lakini pia Bumbuli ameelezea kusikitishwa na mwamko mdogo uliopo kwa majirani zao (Simba) kwa kuwa Afisa habari aliekuepo hapo awali (Haji Manara) aliwapa changamoto vya kutosha.

Chanzo: globalpublishers.co.tz