Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tumezoea kuingia Robo Fainali - Ahmed Ally

Tumezoea Kuingia Robo Fainali   Ahmed Ally.jpeg Tumezoea kuingia Robo Fainali - Ahmed Ally

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema klabu yao kuingia hatua ya Robo Fainali Klabu Bingwa wameshazoea tofauti na watani wao YangaSC.

Amesema kwao ni vitu vya kawaida tofauti na watani zao ambao wameshangilia sana baada ya juzi kufuzu kwa kuwafunga CR Belouzdad.

“Yanga wanashangilia sana kuingia Robo fainali lakini sisi ni maisha yetu haya na tumeshazoea, tunawakaribisha kwenye huu ulimwengu wetu,” alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live