Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tukipata alama 35, tunachukua Ubingwa- Bumbuli (+Video)

BUMBULIIIIII Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli

Sat, 26 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga wameukosa Ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa miaka minne mfululizo ambapo wameshuhudia Ubingwa huo ukienda kwa watani wao wa Jadi Simba.

Msimu huu wa Ligi Kuu 2021/2022 Yanga wapo vyema haswa, mpaka zinakamilika mechi 15 za Mzubguko wa kwanza hajapoteza mchezo wowote huku akishinda michezo 12 na kutoa sare michezo mitatu tu pekee.

Mpaka sasa Yanga anaongoza kwa tofauti ya alama nane na hilo linatosha kumfanya Msemaji wao kutamba kuhusu uhakika wa wao kuchukua ubingwa.

Msikilize Bumbuli hapa chini akifafanua hesabu walizopiga.

View this post on Instagram

A post shared by Jemedari Said Kazumari (@jemedarisaid)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live