Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tuchel kuondoka Bayern mwishoni mwa msimu

Thomas Tuchel Ban Thomas Tuchel

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Bayern, Thomas Tuchel ataondoka ndani ya Klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu ( mwezi Juni ).

Maamuzi hayo yamefikiwa kwa pamoja baina ya pande zote mbili yaani kocha na klabu.

Wakati maamuzi hayo yakitokea, Kocha wa Bayern Liverkusen, Xabi Alonso amekuwa dhahabu.

Liverpool na Bayern Munich wote wanahitaji awe kocha wao kuanzia 2024/25 .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live