Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tuchel kama sio Chelsea basi Man United

Thomas Tuchel Ban Thomas tuchel

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amepanga kurejea kama kocha wa Chelsea pindi atakapoondoka majira ya joto kwa wakali hao wa Ujerumani.

Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amepanga kurejea kama kocha wa Chelsea pindi atakapoondoka majira ya joto kwa wakali hao wa Ujerumani. Mbali na Chelsea lakini pia kocha huyo wa Ujerumani anavutiwa sana na Manchester United na Barcelona kujiunga nazo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live