Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tuchel awapa masharti Bayern Munich

Thomas Tuchel Kuondoka Bayern Munich Mwishoni Mwa Msimu Thomas Tuchel

Fri, 17 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel ameitaka klabu hiyo kumhakikishia itasajili wachezaji wawili nyota anaowataka kabla hajakubali kusaini mkataba mpya utakaomfanya asalie klabuni hapo.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 50 siku chache zilizopita amekuwa kwenye mfululizo wa vikao vya kumshawishi asaini mkataba mpya.

Tuchel ameiambia klabu hiyo anataka imsajilie wachezaji ambao amekuwa akiwaomba kwa muda mrefu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live