Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tshabalala amvulia kofia Kibabage

Tshabalala Kibabage Ed2 Tshabalala amvulia kofia Kibabage

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kushoto wa Klabu ya Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' amempongeza mchezaji mwenzake wa timu ya Yanga ambao ni watani zao wa jadi, Nickson Kibabage kwa kuonyesha kiwango bora katika mchezo wa jana dhidi ya Medeama.

Katika mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 3-0 na kupanda mpaka nafasi ya 2 kwenye msimamo wa kundi lao wakiwa na alama 5 sawa na Al Ahly anayeoongozq msimamo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live