Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tshabalala: Tusikate tamaa, tutarudi kwenye ubora wetu

Tshabalala: Tusikate Tamaa, Tutarudi Kwenye Ubora Wetu Tshabalala: Tusikate tamaa, tutarudi kwenye ubora wetu

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kushoto na Naohodha Msaidizi wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Tshabalala' amewataka mashabiki wa Simba SC kuwa kitu kimoja kwenye nyakati hizi ngumu wanazopitia.

Tshabalala amesema kama wachezaji, wanajipanga kwenda kufanya vizuri kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Jwaneng Galaxy nchini Botswana.

"Tulitereza lakini tutaamka na kusimama upya. Sisi kama wachezaji tutakwenda kupambana kiume kwenye mchezo unaofuata na ninaamini tutapata matokeo," alisema Tshabalala.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live