Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Try Again: Yanga wametupa somo

Try Again Hj Try Again

Sun, 21 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ amewapongeza watani zao Yanga kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika nakusema mafanikio hayo yamewapa somo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ amewapongeza watani zao Yanga kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika nakusema mafanikio hayo yamewapa somo. "Tumedhamiria kufanya usajili wa nguvu utakao kirudisha kikosi chetu kwenye ubora wa juu msimu ujao na hilo linawezekana kutokana na malengo tuliyokuwa nayo ya kuifanya Simba kuwa klabu kubwa Afrika,” amesema Try Again.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live