Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Traore: Nikijipaka mafuta hakuna anaeweza kunikamata

Adama Traoreeee Adama Traore

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ingawa sasa hivi wanatumia mbinu mbalimbali uwanjani ila bado napaka mafuta hii inanisaidia maadui zangu kutokuweza kunizuia, walikuwa wanaweza kunishika mkono au bega na kunivuta ili nisitembee mbele yao.

Kiukweli mara ya kwanza kujipaka mafuta ilikuwa inafurahisha sana, wapinzani kila waliponishika hawakujua kilichotokea walinifuata na kuniuliza kimetokea kitu gani!? mimi mwenyewe nlijiweka sijui na kuwajibu hata mimi sielewe"

Maneno ya Adama Traole juu ya mbinu yake ya kupaka Mafuta uwanjani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live