Mon, 7 Aug 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Klabu ya Tottenham imekataa kwa mara nyingine ofa ya Bayern Munich kiasi cha Pauni Milioni 85 kwa ajili ya mauzo ya Harry Kane.
Bayern wamekuwa katika vita nzito ya kumuwania mshambuliaji huyo wa England lakini Mwenyekiti wa Spurs Dany Levy amegoma katu katu akisema mchezaji huyo hauzwi kwa bei yoyote.
Bayern watajadili binafsi kuona ni namna gani wanaweza kufanikisha dili hilo baada ya kukataliwa ofa yao waliyodai kuwa itakuwa ni ya mwisho, kikao kinatarajiwa kukaliwa wakati wowote.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live