Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tottenham kuwakuta yaliyowakuta Everton

Gcdhygtdh Tottenham kuwakuta yaliyowakuta Everton

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tottenham Hotspur inaweza kukabiliwa na adhabu ya kupunguzwa point baada ya uchunguzi kubaini kuwa sheria zilivunjwa katika uhamisho wa Jermain Defoe kwenda Portsmouth kwa ada ya pound million £7.5m mwaka 2008

FA imesema iko tayari kakagua ushahidi wowote mpya katika kesi hii.

Katika mwaka huo huo wa uhamisho wa Defoe, Luton alikatwa alama 10 kwa kuvunja kanuni za wakala.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live