Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Top 10: Vinara wa mabao mpaka sasa

Phiri X Mayele Top 10: Vinara wa mabao mpaka sasa

Fri, 18 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji 10 ambao ni vinara wa mabao kwa mechi zilizokwishachezwa kabla ya Novemba 18 katika michuano ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ni kama ifuatavyo;

1. SIXTUS SABILO - Mbeya City (mabao 7)

2. MOSES PHIRI - Simba SC (mabao 6)

3. FISTON MAYELE - Yanga SC (mabao 6)

4. IDRIS MBOMBO - Azam FC (mabao 6)

5. RELIANTS LUSAJO - Namungo Fc (mabao 6)

6. FEISAL SALUM - Yanga SC (mabao 4)

7. MOUBARACK AMZA - Coastal Union (mabao 4)

8. ANUARY JABIR - Kagera Sugar (mabao 4)

9. MATHEO ANTHONY - KMC FC (mabao 4)

10. ABALKASIM SULEIMAN - Ruvu Shooting (mabao 4).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live