Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Toni Kroos kustaafia Real Madrid

Toni Kross To Retire Madrid Kiungo wa Real Madrid, Toni Kroos

Wed, 15 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Timu Taifa ya Ujerumani anayekipiga Real Madrid, Toni Kroos ameamua kuendelea kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja utakaomuwezesha kusalia Santiago Bernabeu kwa mwaka mmoja zaidi.

Kiungo wa zamani wa Timu Taifa ya Ujerumani anayekipiga Real Madrid, Toni Kroos ameamua kuendelea kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja utakaomuwezesha kusalia Santiago Bernabeu kwa mwaka mmoja zaidi. Awali ilidaiwa staa huyo mwenye umri wa miaka 33, angeondoka klabuni hapo baada ya mkataba wake wa sasa kumalizika mwishoni mwa msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live