Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Toni Kroos arejea tena Ujerumani

Ton Kroos S Toni Kroos arejea tena Ujerumani.

Fri, 23 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Real Madrid, Toni Kroos (34) amethibitisha kurejea kuitumikia tena timu yake ya Taifa ya Ujerumani baada ya kutangaza kustaafu miaka mitatu iliyopita.

Kroos alitangaza kustaafu kuitumikia timu hiyo inayotarajiwa kuandaa Mashindano ya Euro 2024 na sasa amerudi katika kikosi hicho na tutamuona katika mashindano hayo.

Kroos amefikia uamuzi huo huo baada ya kushawishiwa na kikosi cha sasa cha Ujerumani Julian Nagelsimann, huku akiamini kitafanya makubwa kwenye michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live