Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Toni Kroos aitwa Ujerumani

Toni Kroos RETURN Toni Kroos

Sat, 10 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ujerumani inajaribu kumshawishi Kroos arejee katika timu ya taifa kucheza EURO 2024. Kroos analifikiria hilo.

Ujerumani inajaribu kumshawishi Kroos arejee katika timu ya taifa kucheza EURO 2024. Kroos analifikiria hilo. Toni Kroos mshindi wa kombe la dunia mwaka 2014 kule nchini Brazil alitangaza kustaafu timu ya taifa July 2, 2021 baada ya michezo 106.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live