Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timu zilizofungwa mabao mengi zaidi NBCPL

Mtibwa Sugar 20233 Timu zilizofungwa mabao mengi zaidi NBCPL

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mara baada ya mzunguko wa tisa kumalizika hizi ni ndio timu zilizoruhusu kufungwa magoli mengi ndani ya ligi kuu ya NBC kwenye msimu huu wa 2023/24.

▫️Mtibwa sugar - 16

▫️Tanzania Prisons - 15

▫️Ihefu Fc - 12

▫️Simba SC - 11

▫️KMC Fc - 11

▫️JKT Tanzania - 11

▫️Singida Big Stars - 11

▫️Geita Gold - 11.

Ikumbukwe pia klabu ya JKT Tanzania, KMC Fc na Simba Sc ni miongoni mwa timu ambazo zimeruhusu magoli kuanzia matano ndani ya mechi moja na wote wamefungwa na Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live