Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timu zenye unbeaten nyingi UEFA Champions League

Magoli 2 Ya Vinicius Yaisaidia Real Madrid Kutoka Sare Na Bayern Munich Timu zenye unbeaten nyingi UEFA Champions League

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miongoni mwa viwanja vitano vigumu kwenye UEFA Champions League ni Signal Iduna Park nyumbani kwa Borussia Dortmund

Hadi sasa Dortmund imefikisha mechi 11 kucheza katika uwanja wao wa nyumbani bila kufungwa [unbeaten].

◎ 31 - Man City

◎ 15 - Bayern Munich

◎ 12 - Real Madrid

◉ 11 - Borussia Dortmund.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live