Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timu zenye Mkwanja na Mastaa ghali zaidi Afrika

Aliou Dieng Timu zenye Mkwanja na Mastaa ghali zaidi Afrika

Sun, 24 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa Transfer Market, kikosi cha Mamelodi Sundowns ndio kikosi chenye thamani kubwa zaidi Afrika kwa sasa

Hii ni top 5 ya Klabu zenye mpunga mrefu na kufanya uwekezaji mkubwa zaidi , note muhimu ni kwamba

1 Kwenye Klabu hizi tano ni mbili tu ambazo zimeingia Robo Fainali CAFCL msimu huu .

2 Tano bora inaundwq na klabu za mataifa mawili tu [ Afrika Kusini na Misri]

3 Bajeti ya baadhi ya klabu za hapa nyumbani kwenye usajili ni thamani ya mchezaji mmoja tu na pengine thamani ya mchezaji kutoka 5 bora ni kubwa kuzidi fungu la usajili kwa baadhi ya Klabu zetu.

4 Timu yenye mchezaji ghali zaidi ,haikuwepo kabisa kwenye CAFCL

TOP FIVE

1. Mamelodi Sundowns. Kikosi kina thamani ya €33.15 Milioni sawa na Tsh 91,931,455,687 [ Bilioni 91]

Mchezaji Ghali zaidi ni Marcelo Allende €2.30 milioni sawa na Tsh6,378,351,375 [ Bilioni 6]

2.Al Ahly. kikosi kina thamani ya €32.48 milioni sawa na Tsh90.073,414,200 [ Bilioni 90]

Mchezaji Ghali zaidi ni Aliou Dieng €4.50m sawa na Tsh12,479,383,125 [ Bilioni 12]

3 Pyramids FC Kikosi kina thamani ya: €22.30 milioni sawq na Tsh61,842,276,375 [ Bilioni 61]

Mchezaji Ghali zaidi ni Ramadhan Sobhi €3.00 milioni sawa na Tsh8,319,588,750 [Bilioni 8]

4 Orlando Pirates. Kikosi kina thamani ya €20.20 milioni sawa na Tsh56,018,564,250 [ Bilioni 56]

Mchezaji Ghali zaidi ni Monnapule Saleng €1.30 milioni sawa na Tsh3,605,155,125 [ Bilioni 3]

5 Zamalek SC. Kikosi kina thanani ya € 19.55 sawq na Tsh54,215,986,687 [Bilioni 54]

Mchezaji Ghali zaidi: Ahmed Sayed "Zizo" € 5.00 milioni sawa na Tsh13,865,981,250 [Bilioni 13]

Chanzo: www.tanzaniaweb.live