Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timu ya Under 15 ya Tanzania mshindi wa tatu CECAFA

Tanzania Under 15.jpeg Timu ya Under 15 ya Tanzania mshindi wa tatu CECAFA

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 15 imeibuka mshindi wa tatu katika michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya kuifunga Sudan Kusini kwa bao 1-0.

Mchezo huo wa kutafuta mshindi wa tatu umefanyika uwanja wa FTC Njeru uliopo katika jiji la Jinja, Uganda.

FULLTIME

SUDAN KUSINI 0️⃣ - 1️⃣ Tanzania Kaniki mfungaji ni Selemani⚽ dakika ya 45+2'.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live