Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timu ya Mayele yatolewa nusu fainali

Timu Ya Mayele Yatolewa Nusu Fainali.jpeg Timu ya Mayele yatolewa nusu fainali

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu anayoichezea mshambuliaji Fiston Kalala Mayele, Pyramids imetolewa kwenye hatua ya nusu fainali ya Egypt Cup na Zamalek.

Nusu fainali hiyo ilipigwa jana Novemba 8, 2023 katika uwanja wa Kimataifa wa Cairo ambapo mbungi ilikamilika dakika tisini kwa timu hizo kutoka sare ya 3-3 ambapo Mayele alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotupia katika goli hizo 3.

Ilipofika mikwaju ya penalti, Zamalek walifanikiwa kuibuka na ushindi wa 4-3.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live