Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timu hizi ndizo zimefuzu kushiriki Kagame Cup

Yangasc Bingwa 30 Kikosi cha Yanga

Sat, 25 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu hizi zimefuzu katika michuano ya CECAFA Kagame Cup inayotarajiwa kuanzia Julai 20 hadi Agosti 4, 2024 nchini Tanzania.

Yanga SC ya Tanzania

Gor Mahia ya Kenya

Vital'O ya Burundi

SC Villa ya Uganda

APR ya Rwanda.

Mabingwa wa ligi kutoka nchi hizi pia watashiriki mashindano hayo:

Djibouti

Zanzibar

Sudan

Sudan Kusini

Ethiopia

Somalia

Eritrea

CECAFA pia itaalika timu 4 kujiunga na mashindano hayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live