Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timo Werner nje mpaka msimu ujao

Timo Werner Timo Werner nje mpaka msimu ujao

Wed, 1 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Klabu ya Tottenham Hotspur Timo Werner, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wote wa msimu uliosalia.

Meneja wa kikosi hicho Ange Postecoglou amethibitisha taarifa hizo huku akitaja jeraha la misuli ya paja kama sababu kuu za matatizo ya mshambuliaji huyo machachari.

"Zimesalia wiki mbili na nusu ili atakosa msimu uliosalia" alisema amesema Postecoglou.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live